Maelezo: Kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhan, ni muhimu kwa kila Muislamu kufahamu hukumu na fadhila za Swaum (kufunga). Programu hii ni mwongozo kamili utakaokupa mwangaza kuhusu masuala yote muhimu yanayohusiana na ibada hii adhimu.