Kufahamu Qur’an na mafundisho ya Uislamu kwa kina kunahitaji uelewa wa Lugha ya Kiarabu. Programu hii imeandaliwa mahsusi kukupa misingi imara na thabiti ya lugha hii tukufu, itakayokufungulia milango ya elimu na maarifa.
©2025. All rights reserved by Zad Foundation Tanzania.