Hii ni program maalum kwa anayetaka kujifunza kusoma Qur’an kwa ufasaha, kuanzia hatua za mwanzo kabisa za herufi (Qaida) hadi kufikia kuwa msomaji fasihi na hata kupata idhini ya kuisomesha (Ijazah). Jiunge nasi ili uijue Qur’an kwa ukamilifu wake.
©2025. All rights reserved by Zad Foundation Tanzania.