Elimu ya dini ndio msingi wa matendo ya Muislamu. Program hii ya miezi sita imelenga kumpa mwanafunzi maarifa mapana na muhimu kuhusu misingi ya Uislamu. Mhitimu wa programu hii atapata uelewa wa kina utakaomwezesha kuishi maisha yake kwa kuzingatia misingi sahihi ya dini.
©2025. All rights reserved by Zad Foundation Tanzania.