Kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhan, ni muhimu kwa kila Muislamu kufahamu hukumu na fadhila za Swaum (kufunga). Programu hii ni mwongozo kamili utakaokupa mwangaza kuhusu masuala yote muhimu yanayohusiana na ibada hii adhimu.
π°οΈ 8:30 β 9:30 PM
π Baada ya Sala ya Iβshaa
Tarehe 8 – 17 Februari 2025
π°οΈ 6:00 β 7:00 AM
π Baada ya Sala ya Fajr
Tarehe 18 – 27 Februari 2026
π https://us06web.zoom.us/j/5179861526?pwd=ocfoxTLATasN7i63H9C6w5HajJU8MQ.1
Β©2025. All rights reserved by Zad Foundation Tanzania.